Msaada Umefika

Asalamualeikum

Napenda kuwapa shukrani wale wote walotoa msaada kwa kuwasidia walopata maafa  ya  mafuriko  yaliyotokea baada ya  mvua kali zilizotokea Zanzibar.

Kama mlivyo sikia na kuona picha watu wengi waliathirika na pia watu wengi walijitokeza kutoa misaada kwa  waathirika.

Jumuiya ya wa Zanzibari wanaoishi Canada ZANCANA pia haikua nyuma katika hili ,wali kusanya walo chopata na kukabidhi  kunako  husika.

Zancana ili kusudia kuwapatia msaada watoto yatima ambao nyumba yao iliathirika kwa mvua.

Hata hivyo kuna wasamaria wema wanajenga nyumba za watoto yatima  amabao hawo tulowakusudia watakuwemo katiaka mradi huo.

Kutokana na hali hiyo jumuiya imepeleka mchango katika kusaidia kujenga nyumba hizo ambazo zipo mbweni.

Mfadhili mkuu ni Bwana Zakaria.

Angalia picha

Kila anayetaka kutabaruk anaweza kupeleka huko na kusaidia ujenzi huo.

Wasiliana na Bishara

Mkono kwa Mkono

Comments are closed.