ANNUAL GENERAL MEETING

 ANNUAL GENERAL MEETING

Wana Zancana mnajulishwa kuwa kutakua na General Meeting katika offisi zake hapo 1752B Victoria Park. Shime kila mwana chama hai kufika na alokua sihai atimize kulipa ada zake. Tarehe 26 june; Saa 4 asubuhi.

General meeting ni:

 kupitia yale yote yalopita nyuma

Maendeleo tulopata

Kuangalia kama tun hitaji kufanya uchaguzi mwengine

Kumudu Ofisi

Kama kunahitaji kubadilisha katiba.

Sabaha Muchacho aburudisha Toronto

Baada ya tangazo hilo tunatoa shukran kwa wote walo huduria katika hafla ya Sabahi alotumbuiza mjini Toronto.

Sabaha Muchacho aliwafurahisha wapenzi wa Tarrabu waliofika katika sherehe ya RAHATUL LAYL  (Usiku wa raha) mjini Toronto Canada.

Wapenzi wataraabu kutoka Toronto na vitongoji vyake walihudhuria hafla hiyo.

Wapenzi wakila aina kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi , Somali na hata wenyeji wa Canada

Comments are closed.

Login
Users Online